بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ

Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya

Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya

Jumuiya ya waislamu wa Ahmadiyya ni jumuiya ya Kiislamu iliyoanzishwa na Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (a.s) mwaka 1889 huko Qadian, India.